Sedrick Irvin (alizaliwa tarehe 30 Machi 1978) ni kocha wa futiboli ya Marekani na mchezaji wa zamani. Yeye ni kocha mkuu katika Raw 7v7. Irvin alikuwa kocha mkuu wa futiboli katika Shule ya Sekondari ya Miami na Shule ya Kichristu ya Westminster katika Palmetto Bay,Florida.[1][2][3]


Marejeo

hariri
  1. "1999 NFL Draft Listing". Pro-Football-Reference.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-29.
  2. "Sedrick Irvin Added As Memphis Running Backs Coach". University of Memphis. Januari 14, 2010. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Julai 11, 2011. Iliwekwa mnamo Januari 19, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Sedrick Irvin". University of Memphis. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Julai 11, 2011. Iliwekwa mnamo Januari 19, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)