Seif Ali Iddi

(Elekezwa kutoka Seif Ally Iddi)

Seif Ali Iddi (amezaliwa 23 Februari, 1942) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania[1].

Balozi Iddi, 2015

Tanbihi

hariri
  1. "Mengi kuhusu Seif Ally Iddi". 21 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-21. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Chanzo

hariri