Senâm
Senâm ni mlima mpana lakini mfupi uliopo wilaya ya M'sila, Algeria, kusini-magharibi mwa Algiers.
Mlima huo una mawe makubwa ya mviringo. Hayo mawe ya mviringo yameundwa kwa saruji halisia, yana urefu ya futi mbili hadi tatu. Upana wa hayo mawe unatofautiana kati ya futi 23 na futi 34. Sehemu ya kuingilia ipo upande wa kusini-mashariki mwa mlima kupitia mviringo uliozunguka. Bado haijulikani kama sehemu hiyo iliwekewa ufuniko. Katikati ya mviringo kumejazwa mawe na sababu haijulikani ni ipi, kuna uwezekano ilikuwa kaburi.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Peet, T. Eric (1912). Rough stone monuments and their builders. Harper and Brothers. uk. 94.
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Senâm kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |