Seram
Seram (pia Ceram) ni kisiwa cha Indonesia. Kiko katikati ya funguvisiwa ya Maluku. Eneo la kisiwa ni 17,100 km². Miji mikubwa kisiwani ni Dataran Hunipopu, Dataran Hunimoa na Masohi. Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 434,113 . Watu wakaao kisiwani kwa Seram huongea lugha mbalimbali, hasa Kimanusela na Kinuaulu.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|