Kimanusela (pia Kiwahai) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamanusela kwenye kisiwa cha Seram. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kimanusela imehesabiwa kuwa watu 7000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanusela iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimanusela kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.