Sergey Olegovich Bida (Kirusi: Сергей Олегович Бида, ; alizaliwa 13 Februari 1993) ni mchezaji anaetumia mkono wa kushoto katika mchezo wa upanga aina ya épée kutoka Urusi na mshindi wa medali ya fedha katika michezo ya Olimpiki 2021.[1]

Marejeo

hariri
  1. "INTERNATIONAL FENCING FEDERATION - The International Fencing Federation official website". INTERNATIONAL FENCING FEDERATION - The International Fencing Federation official website. Iliwekwa mnamo 2021-12-03.