Serifatu Oladunni Oduguwa

Serifatu Oladunni Oduguwa, maarufu kwa jina lake la kisanii kama Queen Oladunni Decency au Queen Mummy Juju, [1] alikuwa mwimbaji na mpiga gitaa wa nchini Nigeria ambaye alijikita katika tanzu ya muziki ya Jùjú. [2][3] Aliaminika kama mpiga gitaa wa kwanza wa kike nchini Nigeria, akawa mwanzilishi na kiongozi wa bendi ya muziki ya Jùjú inayoitwa Her Majesty Queen Oladunni Decency na Her Unity Orchestra.[4] Alirekodi nyimbo nyingi hadi kifo chake akiwa na umri wa miaka 28.[5]

Marejeo

hariri
  1. New Breed. 1978.
  2. https://amf.didiermary.fr/queen-oladunni-decency-ayanmo-lowo/
  3. Bulletin of the International Committee on Urgent Anthropological and Ethnological Research. International Committee on Urgent Anthropological and Ethnological Research. 1989.
  4. Georgia State University. Dept. of African-American Studies (1970). Drum: A Magazine of Africa for Africa. African Drum Publications.
  5. Segun Fajemisin (20 Oktoba 2003). "African Songs UK revives the good ol' times". naijanet.com. Iliwekwa mnamo 25 Septemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Serifatu Oladunni Oduguwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.