Severo Ochoa
Severo Ochoa (24 Septemba 1905 – 1 Novemba 1993) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Hispania. Hasa alichunguza vimeng’enya vya chembe hai. Pia alifaulu kusanisi DNA. Mwaka wa 1959, pamoja na Arthur Kornberg alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Severo Ochoa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |