Sezen Aksu

Sezen Aksu (amezaliwa kama Fatma Sezen Yıldırım) (mnamo tar. 13 Julai 1954 mjini Denizli) ni mwimbaji wa muziki wa pop, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa rekodi za muziki kutoka nchi Uturuki. Ni maarufu sana kwa nchini humo na nje ya nchi ya Uturuki. Aksu amepata kuuza nakala za albamu zake zaidi ya milioni 40. Aksu pia humwita "Malkia wa Pop wa Uturuki".

Sezen Aksu
Sezen Aksu Bodrum2009.jpg
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Fatma Sezen Yıldırım
Amezaliwa 13 Julai 1954 (1954-07-13) (umri 66)
Asili yake Sarayköy, Uturuki
Aina ya muziki Pop
Kazi yake Mwimbaji
Mtunzi
Miaka ya kazi 1975–hadi leo
Tovuti Tovuti Rasmi

Aksu pia huwa anatoa msaada kwa wasanii wengine wa muziki kwa ktunga nyimbo pamoja na kisha kuziimba pamoja nao. Alishwahi kufanya kazi na mwimbaji mwingine wa Kituruki Bw. Tarkan.

WasifuEdit

Maisha ya awaliEdit

MuzikiEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu muziki wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sezen Aksu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.