Shamgar mwana wa Anath (kwa Kiebrania מְגַּר, Šamgar) alikuwa mmojawapo kati ya Waamuzi wa Biblia.

Shamgar alivyochorwa katika Karne za Kati.

Kadiri ya Waamuzi 3:31 alikomboa Israeli kutoka mikono ya Wafilisti, kwa kuwaua 600. Katika 5:6 jina linapatikana tena kwa maelezo tofauti hata kusababisha maswali mengi yanayojibiwa na wataalamu kwa namna mbalimbali.

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shamgar kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.