Shawn Rowe
Shawn Rowe (alizaliwa 7 Desemba 1992) huko Kingston, Jamaika katika sehemu inayoitwa Barabara ya milima nyekundu. shawn Rowe ni mwanariadha wa Jamaika ambaye hushiriki zaidi katika mbio za mita 400 kuruka viunzi.[1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shawn Rowe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |