She's Out of My Life
"She's Out of My Life" ni wimbo uliotungwa na mwanamuziki Tom Bahler. Alitunga wimbo huu kuhusu Karen Carpenter, aliyeachana na Bahler baada ya kugundua kwamba amezaa mtoto na mwanamke mwingine.[1] Wimbo huu umeimbwa tena na wasanii kibao. Wasanii hao ni pamoja na: Michael Jackson, Patti LaBelle, Ginuwine, 98 Degrees, Jon Lee, Barbara Mandrell, Willie Nelson, na Josh Groban.
“She's Out of My Life” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Off the Wall | |||||
B-side | "You Push Me Away" (akiwa na The Jacksons, UK) "Get on the Floor" (US) | ||||
Imetolewa | Aprili 1980 | ||||
Muundo | 7" single | ||||
Imerekodiwa | 1979 | ||||
Aina | R&B | ||||
Urefu | 3:37 | ||||
Studio | Epic Records | ||||
Mtayarishaji | Michael Jackson na Quincy Jones | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
Wimbo huu umekuwa mashuhuri baaada ya kuimbwa tena na Michael Jackson. Aliutoa ukiwa kama wimbo wa nne kutoka katika albamu yake ya Off the Wall mnamo mwaka wa 1980. Hiki kilikuwa kipindi cha kwanza cha Michael akiwa kama msanii wa kujitegemea kupata mafanikio ya kuingiza nyimbo nne kutoka katika albamu moja kwenye kumi bora.
Orodha ya nyimbo
haririUK single
hariri- "She's Out of My Life" – 3:38
- "Push Me Away" (with The Jacksons)
U.S. single
hariri- "She's Out of My Life" – 3:38
- "Get on the Floor" – 4:57
Chati
haririChati (1980) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Australian Singles Chart | 17 |
Canadian Singles Chart | 10 |
Dutch Singles Chart | 19 |
Irish Singles Chart | 4 |
UK Singles Chart | 3 |
US Billboard Hot 100 | 10 |
Chati (2009) | Nafasi iliyoshika |
UK Singles Chart | 88[2] |
Marejeo
hariri- ↑ "The Carpenters: The Untold Story" page 237 by Ray Coleman
- ↑ "UK Singles Chart". The Official UK Charts Company. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009.
Viungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu She's Out of My Life kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |