She's Out of My Life

(Elekezwa kutoka She's out of My Life)

"She's Out of My Life" ni wimbo uliotungwa na mwanamuziki Tom Bahler. Alitunga wimbo huu kuhusu Karen Carpenter, aliyeachana na Bahler baada ya kugundua kwamba amezaa mtoto na mwanamke mwingine.[1] Wimbo huu umeimbwa tena na wasanii kibao. Wasanii hao ni pamoja na: Michael Jackson, Patti LaBelle, Ginuwine, 98 Degrees, Jon Lee, Barbara Mandrell, Willie Nelson, na Josh Groban.

“She's Out of My Life”
“She's Out of My Life” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Off the Wall
B-side "You Push Me Away" (akiwa na The Jacksons, UK)
"Get on the Floor" (US)
Imetolewa Aprili 1980
Muundo 7" single
Imerekodiwa 1979
Aina R&B
Urefu 3:37
Studio Epic Records
Mtayarishaji Michael Jackson na Quincy Jones
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Off the Wall"
(1980)
"She's Out of My Life"
(1980)
"Girlfriend"
(1980)

Wimbo huu umekuwa mashuhuri baaada ya kuimbwa tena na Michael Jackson. Aliutoa ukiwa kama wimbo wa nne kutoka katika albamu yake ya Off the Wall mnamo mwaka wa 1980. Hiki kilikuwa kipindi cha kwanza cha Michael akiwa kama msanii wa kujitegemea kupata mafanikio ya kuingiza nyimbo nne kutoka katika albamu moja kwenye kumi bora.

Orodha ya nyimbo

hariri

UK single

hariri
  1. "She's Out of My Life" – 3:38
  2. "Push Me Away" (with The Jacksons)

U.S. single

hariri
  1. "She's Out of My Life" – 3:38
  2. "Get on the Floor" – 4:57
Chati (1980) Nafasi
iliyoshika
Australian Singles Chart 17
Canadian Singles Chart 10
Dutch Singles Chart 19
Irish Singles Chart 4
UK Singles Chart 3
US Billboard Hot 100 10
Chati (2009) Nafasi
iliyoshika
UK Singles Chart 88[2]

Marejeo

hariri
  1. "The Carpenters: The Untold Story" page 237 by Ray Coleman
  2. "UK Singles Chart". The Official UK Charts Company. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2009.

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu She's Out of My Life kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.