Shekhinah (mwimbaji)

Shekhinah Thandi Donnell (alizaliwa 2 Oktoba, 1994), anajulikana kwa jina moja kama Shekhinah, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Durban, Afrika Kusini . Shekhinah alikuwa miongoni mwa washindi 32 bora wa msimu wa 7 wa mashindano ya SA Idols mwaka 2011 na miongoni mwa washindi 6 bora wa msimu wa 8 wa SA Idols mwaka 2012. [1]

Mwanamuziki Shekhinah

Albamu yake ya kwanza ya Rose Gold ilitolewa mnamo Oktoba 2017 na kuthibitishwa kuwa na hadhi ya platinamu na RiSA manamo 31 Agosti 2018. [2] [3] [4] Rose Gold ilitoa nyimbo tatu za nambari moja zilizojulikana kama "Suited"; "Please Mr." na "Different".

Albamu yake ya pili ya Trouble In Paradise, ilitolewa Mei 2021.

Kazi hariri

2016-2018: Rose Gold (2018) hariri

Mnamo mwaka 2017, Shekinah alitoa wimbo wake wa kwanza "Suited", ambao ulishika nafasi ya 1 kwenye chati za muziki za Afrika Kusini na kuthibitishwa kwa plaque ya hadhi ya almasi na tasnia ya kurekodi ya Afrika Kusini (RiSA). [5] Mnamo 2018, "Please Mr" na "Different" zilitolewa mwaka huo huo, "Please Mr" iliidhinishwa na plaque ya hadhi ya dhahabu. [6]

Mnamo Oktoba 6, 2017, albamu yake ya kwanza ya Rose Gold ilitolewa nchini Afrika Kusini na Sony Music Entertainment Africa.

Mnamo Mei 7, 2021, albamu yake ya pili ya Trouble In Paradise ilitolewa nchini Afrika Kusini. [7] [8]

Marejeo hariri

  1. "Shekhinah Donnell rises above the stars : AFDA". www.afda.co.za (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-03. Iliwekwa mnamo 2017-08-03. 
  2. Makhudu, Tshegofatso. "Shekhinah goes gold and platinum". channel24. Iliwekwa mnamo 26 January 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Shekhinah's Rose Gold goes gold". BONA Magazine. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-29. Iliwekwa mnamo 26 January 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "Shekhinah's Rose Gold Album Attain Gold Status". samusicmag. Iliwekwa mnamo 26 January 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  5. "Shekhinah's Hit Single 'Suited' Has Been Certified Platinum". okayafrica. Iliwekwa mnamo 26 January 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. "Shekhinah's "Please Mr" Goes Gold". Fakaza. Fakaza News. Iliwekwa mnamo 8 May 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  7. Shabangu, Nobantu (7 May 2021). "Shekhinah Experiences 'Trouble in Paradise' on Her Latest Album - OkayAfrica". OkayAfrica.  Check date values in: |date= (help)
  8. Reporter, Entertainment (November 20, 2020). "Shekhinah delays 'Trouble In Paradise' album release". Independent Online.  Check date values in: |date= (help)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shekhinah (mwimbaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.