Shemasi mdogo ni Mkristo anayetoa huduma fulani katika madhehebu mbalimbali, hasa wakati wa liturujia.

Mashemasi wadogo wakishika mishumaa ya kiaskofu wakati shemasi anasoma Injili katika Liturujia ya Kimungu.

Cheo chake kinafuata kile cha shemasi. Pengine kinalinganishwa kabisa na kile cha akoliti.

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shemasi mdogo kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.