Liturujia ya Kimungu

Liturujia ya Kimungu ni adhimisho la ekaristi kwa jina linalotumiwa hasa na Waorthodoksi na Wakatoliki wa Mashariki wanaofuata madhehebu ya Kigiriki.

Mozaiki ya mwaka 1150 hivi inayoonyesha watakatifu Basili Mkuu (kushoto) na Yohane Krisostomo, watunzi wa anafora mbili zinazotumika zaidi. Iko katika Cappella Palatina, Palermo (Italia).

Ina sehemu kuu mbili: moja ambayo inaruhusu wakatekumeni kuhudhuria, ya pili ni kwa ajili ya waamini waliobatizwa tu.

Liturujia ya wakatekumeni hariri

Inaleta hasa Neno la Mungu kutoka Biblia ya Kikristo

 
Padri akiingia patakatifu akishika kitabu cha Injili.
 
Somo la Injili.
 
Litania ya wakatekumeni.

Liturujia ya waamini hariri

Ndiyo adhimisho la ekaristi yenyewe kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.

 
Padri akiingia patakatifu akibeba vipaji huku shemasi mdogo akishika chetezo.
 
Padri akisimama kwenye meza takatifu (altare).
 
Waamini wakijiandaa kupokea Ushirika mtakatifu.
 
Ugawaji wa Ushirika mtakatifu kwa waamini.
 
Askofu akifanya ishara ya msalaba kwa kitabu cha Injili juu ya kitambaa cha altare kiitwacho antimension.
 
Padri akiruhusu waamini kuondoka kwa msalaba wa baraka.

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Makanisa ya Kiorthodoksi

Makanisa ya Kiorthodoksi ya Mashariki

Kanisa Katoliki la Kimelkiti

Kanisa Katoliki la Armenia

  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Liturujia ya Kimungu kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.