Sherman Hemsley

Sherman Alexander Hemsley (1 Februari, 193824 Julai, 2012) alikuwa mwigizaji Mmarekani aliyejulikana zaidi kama George Jefferson katika mifululizo ya CBS All in the Family na The Jeffersons, na kama mhudumu Ernest Frye katika mfululizo wa NBS Amen. Yeye aliigiza pia bosi wa kuogofya wa Earl Sinclair, triseratopsi aliyepewa jina B.P. Richfield, kwenye tamthilia ya futuhi ya Jim Henson Dinosaurs.

Sherman Hemsley
Sherman Hemsley 1239819.jpg
Hemsley mwezi Desemba, mwaka 1999
Amezaliwa Sherman Alexander Hemsley
1 Februari 1938(1938-02-01)
Philadelphia, Pennsylvania, Marekani
Amekufa Julai 24, 2012 (umri 74)
El Paso, Texas, Marekani
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1970-2012