Shirazi, Kenya

(Elekezwa kutoka Shirazi, kenya)

Shirazi (pia inajulikana kama kifunzi, kifundi au chifundi) ni kijiji kinachopatikana pwani mwa Kenya. Ni eneo linalotawaliwa na watu wa jamii ya Washirazi.[1][2]

Marejeo hariri

  1. Trillo, Richard (2002). Kenya (kwa Kiingereza). Rough Guides. ISBN 978-1-85828-859-8. 
  2. Allen, James De Vere (1993). Swahili Origins: Swahili Culture & the Shungwaya Phenomenon (kwa Kiingereza). J. Currey. ISBN 978-0-85255-075-5.