Washirazi

kabila la watu

Washirazi (pia: Wambwera) ni kabila la watu wa visiwa vya Bahari Hindi, hasa vile vya Zanzibar na Komoro[1][2].

Historia ya Tanzania
Coat of Arms of Tanzania
This article is part of a series
Uendo
Historia ya Zanzibar
Afrika Mashariki 1800-1845
Ukoloni
Afrika ya Mashariki ya Kijerumani
Mkataba wa Zanzibar-Helgoland
Mkwawa
Vita vya Maji Maji
Vita vikuu vya kwanza Afrika Mashariki
Tanganyika
Mapambano ya uhuru Tanganyika
Uhuru
Uhuru wa Tanganyika
Mapinduzi ya Zanzibar
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Julius Nyerere
Ujamaa
Tamko la Arusha
Vita vya Kagera
Ali Hassan Mwinyi
Benjamin Mkapa
Jakaya Kikwete
John Magufuli
Samia Suluhu Hassan

Tanzania Portal

Asili yao inahushishwa na Shiraz na pwani ya Uajemi.

Washirazi walichangia sana uenezi wa Uislamu, uanzishaji wa usultani wa Waarabu na lugha ya Kiswahili, pamoja na kutajirika kwa biashara ya watumwa na bidhaa mbalimbali kutoka bara la Afrika iliyofanyika kutoka vituo vyao visiwani.[2][3][4][tanbihi 1]

Hadi leo karibu wote wanaongea lahaja za Kiswahili na kufuata dini ya Uislamu.

Katika karne ya 20 jina la "Shirazi" lilipata umaarufu wa kimataifa wakati wapinzani wa utawala wa Kiarabu kisiwani Unguja walifanya mapinduzi ya Zanzibar kwa jina la "Afro Shirazi Party" iliyoendelea kutawala Zanzibar hadi mwaka 1977 ilipounganika na TANU ya bara na kuwa Chama cha Mapinduzi na hivyo kuacha jina lake.

Tanbihi hariri

  1. The Bantu-speaking slaves sourced from the East Africa coast are called Zanj in Islamic literature.[5][6]

Marejeo hariri

  1. Tanzania Ethnic Groups, East Africa Living Encyclopedia, accessed 28 June 2010
  2. 2.0 2.1 Ari Nave (2010). Anthony Appiah (ed.); Henry Louis Gates (ed.), eds. Encyclopedia of Africa. Oxford University Press. p. 379. ISBN 978-0-19-533770-9. Most scholars, however, believe that the Shirazi actually began their settlement of the East African coast in the twelfth century and that they originated in Somalia. Shirazi established themselves on the following islands: Lamu Kenya, Pemba Zanzibar, Mafia and Kilqa Kiswani all in Tanzania and Comoros. (...) Known for their mercantile skills, the Shirazi asserted themselves as ruling elites as early as the twelfth century on the islands that were their base. Trade in gold, ivory and slaves brought prosperity to the Shirazi 
  3. August H. Nimtz (1980). Islam and Politics in East Africa. University of Minnesota Press. pp. 3–11, 30–33, 39–47. ISBN 978-0-8166-0963-5. , Quote: "The Shirazi were classified as native, that is, Africans, and this they were of low status. Prior to the colonial era, the Shirazi and Arabs saw themselves, for the most part, as one community. (...) Unlike the previous periods in which African captives were usually taken to Persian Gulf areas to work primarily as domestic laborers, by the nineteenth century, most slaves were being utlized on the vast clove and plantations on the East African coast and offshore islands. (...) Arab rule, from this period until its demise at the hands of the European powers, became virtually synonymous with slavery and slave ownership." (...) "Though Shirazi ownership of slaves was never as extensive as the Arabs, slaves were a major source of their wealth"
  4. Per O. Hernæs, Tore Iversen (eds.) (2002). Slavery Across Time and Space: Studies in Slavery in Medieval Europe and Africa. University of Virginia. p. 23. ISBN 8277650418. Retrieved 28 November 2016. 
  5. Alexander Mikaberidze (2011). Conflict and Conquest in the Islamic World: A Historical Encyclopedia. ABC-CLIO. p. 969. ISBN 978-1-59884-336-1. the Bantu-speaking peoples of East Africa were called the Zanj and blacks from south of the Sahara were called al-Aswad 
  6. Ronald Segal (2002). Islam's Black Slaves: The Other Black Diaspora. Macmillan. p. 42. ISBN 978-0-374-52797-6. , Quote: "As early as the late seventh century, black slaves known as the Zanj, associated with people from the East African coast, were put to agricultural work in a region that encompassed part of western Persia but mainly southern Iraq."

Kusoma zaidi hariri

  Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Washirazi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.