Shirika la Hali ya Hewa ya Dunia

Shirika la Hali ya Hewa ya Dunia (kwa Kiingereza: World Meteorological Organization; kifupi: WMO) ni asasi ya ushirikiano baina ya serikali mbalimbali duniani ikiwa na idadi ya Nchi wanachama 193. Makao makuu ya shirika ni Geneva, Uswisi.

Makao makuu ya WMO

Rais wa mkutano wa Dunia wa hali ya hewa ndiye kiongozi mkuu wa shirika ambaye ni Gerhard Adrian[1], na mtangulizi wake alikuwa David Grimes.

Shirika hili lilianzishwa baada ya lile la Shirika la Kimataifa la Hali ya Hewa, lililoanzishwa mnamo mwaka 1873. [2]

Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-30. Iliwekwa mnamo 2020-01-28.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-03-05. Iliwekwa mnamo 2020-01-28.

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: