Shirika la Wanafunzi wa Afrika Kusini
Ni jumuiya ya wanafunzi nchini afrika ya kusini iliyo anzishwa mwaka 1969 kwa lengo la kua sauti ya changamoto za wanafunzi haswa wanafunzi weusi
JINA Faili:PICHA MAELEZO Amezaliwa 1969 ABC Amekufa MAHALI Nchi AFRICA KUSINI Majina mengine Kazi yake Kupinga ubaguzi wa rangi
Matumizi "B" (ipo yote nzima)
SHIRIKA LA WANAFUNZI KUSINI | |
Nchi | AFRICA KUSINI |
---|
Shirika la Wanafunzi wa Afrika Kusini (SASO) lilikuwa shirika la wanafunzi weusi wa chuo kikuu nchini Afrika Kusini kilichosajiliwa kwa malengo ya kupinga Ubaguzi wa Rangi kupitia hatua zisizo za vurugu za kisiasa. Shirika hilo lilianzishwa mwaka 1969 chini ya uongozi wa Steve Biko na Barney Pityana na lilitoa mchango muhimu kwa itikadi na uongozi wa kisiasa wa Harakati ya Ufahamu wa Weusi. Ilikatazwa na serikali ya Afrika Kusini mnamo Oktoba 1977, kama sehemu ya majibu ya serikali ya ukandamizaji kwa uasi wa Soweto.
[1]
Marejeo
haririMakala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |