Shoka ni kifaa kinachotumika kukatia magogo, nyama, mifupa, kuni n.k.
Ukitaka kuunda shoka unatakiwa uwe na mpini na chuma.
Shoka lina faida na hasara zake; mfano ni: ukikosea kukata unaweza kukata kuni vibaya au kujikata wakati unakata nyama.