Sidney Kingsley (22 Oktoba 190620 Machi 1995) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1934, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake Men in White.

Caption text


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sidney Kingsley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.