Sili
Sili wa Kawaida Phoca vitulina
Sili wa Kawaida Phoca vitulina
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Caniformia (Wanyama kama mbwa)
Familia: Phocidae (Wanyama walio na mnasaba na sili)
Gray, 1821
Ngazi za chini

Nusufamilia 2, jenasi 13 na spishi 19:

Sili (Kisayansi: Phocidae) ni familia ya mamalia wenye mikono na miguu inayofanana na mapezi ya samaki.

Sili wachanga wawili ufukoni: mchoro wa Paul de Vos

Phocidae

hariri