Simon Rieber
Msanii na Mwandishi Kutoka Tanzania
Simon Cosmas Michael (anayejulikana zaidi kama Simon Rieber[1], amezaliwa 25 Mei 1994) ni mchoraji katuni, mwongozaji, mtayarishaji na mwandishi wa miswada ya filamu kutoka Tanzania.
Yeye ni mshindi wa tuzo ya Umoja Prize for Contemporary Tanzanian Artist mwaka 2020. Amefanya maonyesho kadhaa nchini Tanzania na Afrika Mashariki, akijijengea nafasi nzuri kama msanii anayechipukia wa kitanzania katika ulingo wa sanaa ya Afrika Mashariki[2][3][4].
Kazi zake
haririVitabu
haririMwaka | Jina | Mchapaji | ISBN |
---|---|---|---|
2021 | How To Draw With Mouse (Using Adobe Illustrator) | Pencil Publishers | ISBN 978-93-54584-41-1 |
2023 | Beautiful Monster[5] | Publishdrive | ISBN 97-9-83737-52-56-5 |
2023 | In Love with Ghost | Publishdrive | ISBN 979-83-73854-98-6 |
2023 | I Will Never Forget you[6] | Publishdrive | ISBN 979-83-73655-82-8 |
2023 | I Will Never Forget you (Vol 2) | Publishdrive | ISBN 979-83-73750-41-7 |
2023 | Linda; She is not my wife | Pencil Publishers | ISBN 979-83-73527-43-9 |
2023 | Drawings for Modeling Methods | Pencil Publishers | ISBN 979-83-72952-06-5 |
2023 | Safari ya Irene[7] | Prime Publishers | ISBN 979-83-75360-20-1 |
Filamu
haririMwaka | Filamu | Wadhifa |
---|---|---|
2023 | Holy[8] | Mwigizaji na Mwongozaji |
2022 | Tembele[9] | Mwandishi |
2020 | Nyara:The Kidnapping | Mwandishi Muswada |
2015 | Planetary[10] | Mwongozaji |
2023 | What History Says Whith Simon Rieber | Mtayarishaji, Mwongozaji |
2013 | Hue: A Matter of Colour | Mwandishi |
2014 | The Boy from Geita[11] | Mwandishi |
Tuzo
haririMnamo mwaka 2020: Simon alishinda tuzo ya Umoja Prize for Contemporary Tanzanian Artist kama mchoraji bora wa mwaka.[12][13]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 "Simon Cosmas Michael (Simon Rieber)". Africultures (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-04-18.
- ↑ "Simon Rieber a man who gets his fame in digital illustration". Hitmes (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-30. Iliwekwa mnamo 2021-12-31.
- ↑ "Leave it to Rieber: Simon says art is the way". Kulturehub (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-03-05. Iliwekwa mnamo 2021-02-25.
- ↑ "SIMON RIEBER AND ADOBE ILLUSTRATOR". Menafn News (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-06-08.
- ↑ "Beautiful Monster| WorldCat.org". www.worldcat.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023.
{{cite web}}
: Check date values in:|access-date=
(help) - ↑ "I Will Never Forget You| WorldCat.org". www.worldcat.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023.
{{cite web}}
: Check date values in:|access-date=
(help) - ↑ Rieber, Simon (2023). Safari ya Irene. Prime Publishers. ISBN 979-83-75360-20-1.
{{cite book}}
: Cite has empty unknown parameter:|1=
(help); Unknown parameter|agency=
ignored (help) - ↑ "Holy (2023) film review". The A.V Club (kwa Kiingereza). 2023.
- ↑ "Tembele Movie Guide". Radio Times (kwa Kiingereza). 2022. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-05-12. Iliwekwa mnamo 2023-06-09.
- ↑ "Simon Rieber (Director)". Cinafilm (kwa Kiingereza). 2015.
- ↑ "The Boy From Geita". Plex TV (kwa Kiingereza). 2014.
- ↑ "Meet artist Simon Rieber winner of 2020 Umoja Prize for Contemporary Tanzanian Art". Africa in News (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-31. Iliwekwa mnamo 2022-08-14.
- ↑ "UMOJA embraces the belief that collaboration brings innovation, cultural understanding and uplifts the creative economy". European spaces of culture (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-10-01.
Viungo vya nje
hariri- Simon Rieber Kwenye Internet Movie Database
- Simon Rieber kwenye Artmajeur
- Simon Rieber kwenye Saatchiart
- Simon Rieber kwenye Instagram
- Simon Rieber kwenye Facebook
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Simon Rieber kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |