Simona Brambilla ISMC (alizaliwa 27 Machi 1965) ni sista mmisionari wa Kanisa Katoliki kutoka Italia ambaye aliongoza tawi la wanawake la Wamisionari wa Consolata kuanzia mwaka 2011 hadi 2023.

Mnamo Oktoba 2023, aliteuliwa kuwa katibu wa kwanza wa kike wa Idara ya Mashirika ya Wakfu na Jamii za Maisha ya Kitume, na hivyo kuwa miongoni mwa wanawake wa cheo cha juu zaidi katika Kuria ya Roma.[1]

Marejeo

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.