Singida United F.C.

klabu ya soka

Singida United ni klabu ya soka inayocheza Ligi Kuu Tanzania Bara yenye makao yake huko Singida. Wanatumia uwanja wa Namfua uliopo Singida kwa mechi zake za nyumbani. Katika ligi daraja la pili, Singida United walishinda taji hilo kwa mara ya pili mfululizo mwaka 2016, walishinda pia taji la ligi daraja la kwanza mwaka 2017.

Singida United F.C.
Rangi nyumbani
Rangi za safari

Mnamo Januari 12, 2019, Mserbia Dragan Popadic alichaguliwa kuwa kocha mkuu na msaidizi wake kua Dusan Momcilovic.[1]

Historia hariri

Singida united ilianzishwa mkoani Singida kanda ya Tanzania kati mwaka 1972 miaka hiyo ikijulikana kama Mto Sports Club [2]. ilianza kama klabu ndogo na baadae kuanza kuvutia wadau katika miaka ya 90. Kwa mara ya kwanza, Singida united ilishiriki ligi kuu Tanzania bara mwaka 2000. Hawakua na mwanzo m,zuri kwani walishuka daraja msimu unaofuata wa 2001/2002. Ilishiriki ligi daraja la kwanza kwa muda mrefu na ikashuka mpaka ligi daraja la pili, kuanzia mwaka 2013, Singida united ilirudi katika kiwango bora, iakapanda mpaka daraja la kwanza amabapo iliendelea kufanya vizuri kwa misimu kadhaa.

Hatimaye mwaka 2017, klabu hiyo ilipanda hadi Ligi kuu Tanzania Bara kitendo kilichopelekea wadhamini wengi kujitokeza kuidhamini klabu hiyo. Klabu hiyo ilipata udhamini wa kampuni ya sportPesa ikiwa ndio mwaka wa kwanza wa kampuni hyo kuingia nchini Tanzania, kuacha udhamini huu wa kamopuni ya kubashiri, Singida united ilipata udhamini wa Puma pia, kampuni ya nishati Tanzania.[3]

Msimu wa 2018/19 hariri

Katika msimu wa 2018/2019, ndai ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Singida united nilicheza jumla ya michezo 38, ikishinda michezo 11, sare 13 na kupoteza michezo14, ilimaliza katika nafasi ya 13 ikiwa na jumla ya alama 46.[4] Katika mashindano ya Azam Sports Federation Cup, walifika hatua ya robo fainali kabla ya kupoteza mchezo kwa idadi ya magoli 2–0 dhidi ya Lipuli FC.

Mafanikio hariri

Kikosi cha sasa 2018/19 hariri

Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.

Na. Nafasi Mchezaji
  GK Ally Mustapha
  GK Kissu David
  DF Miraji Adam
  DF Boniface Maganga
  DF Shafik Batambuze
  DF jamal mwambaleko
  DF Kennedy Juma
  DF Salum Kipaga
  DF Salum Chuku
  DF Rahab Zahir
  DF swalehe abdullah
  DF Elisha Muroiwa
  MF Yusuph Kagoma
  MF Kazungu Mashauri
  MF Diaby Amara
  MF Kenny Ally
  MF Aweso Juma
Na. Nafasi Mchezaji
  MF Issa Makamba
  MF Ally Ng'anzi
  MF Nizar Khalfan
  FW Rashid Simkoko
  FW Habib Kyombo
  FW John Tiber
  FW Lubinda Mundia
  FW Athanas Mdamu
  FW Assad Juma
  FW Mohamed Tello
  FW Elinyesia Sumbi
  FW Eliuter Mpepo
  FW Hans Kwofie
  FW Benedict Jr
  FW Geoffrey Mwashiuya
  FW Frank Zakaria
  FW Mohamed Titi

Benchi la Ufundi hariri

  • Kocha mkuu:   Dragan Popadic
  • Kocha Msaidizi: Dusan Momcilovi

Wasimamizi hariri

  • Dragan Popadic (2019–mpaka sasa)
  • Hemed Seleman Ally 'Morocco' (2018–2019)
  • Hans van der Pluijm (2017–2018)[5]

Marejeo hariri

  1. "Singida United appoint former Express FC coach". swiftsportsug.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-05-30. 
  2. "Singida Utd Team History". SportPesa Care Facebook Page (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-05-30. 
  3. "Singida United yazidi kutajirika", Mwanaspoti. Retrieved on 2019-10-01. (en-UK) Archived from the original on 2019-10-01. 
  4. "Tables – LIGI KUU BARA". (en) 
  5. "Hans van der Pluijm appointed head coach of newly-promoted Tanzanian side Singida United". GHANAsoccernet.com. Iliwekwa mnamo 2017-07-26. 

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Singida United F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.