Siriaka wa Roma

(Elekezwa kutoka Siriaka)

Siriaka (pia: Dominika; alifariki Roma, Italia, 249) alikuwa mwanamke mjane wa Roma ya Kale aliyeuawa kwa kupigwa mijeledi kwa ajili ya imani yake[1] .

Laurenti Mfiadini alikuwa anatumia nyumba yake kugawa misaada kwa fukara[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Agosti[3] au 19 Mei[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.