Sivas (kwa Kigiriki: Σεβάστεια, kwa Kiarmenia: Սեբաստիա, kwa Kiajemi: Sebhasd: enzi ya Klasiko na karne za kati waliita Sebastia, pia huitwa Sebastea au Sebasteia) ni jina la mji uliopo nchini Uturuki na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Sivas.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, idadi ya wakazi ilihesabiwa kufikia 296,402.

Mji upo mita 1,285 juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sivas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.