Kielelezo cha Sodoma na Gomora kadiri ya Hartmann Schedel, 1493. Mke wa Loti, katikati, ameshageuka nguzo ya chumvi.

Sodoma ulikuwa mji wa Bonde la Ufa kati ya Palestina na Yordani za leo.

Ni maarufu kutokana na jinsi ulivyoangamia kadiri ya Biblia na Kurani ambazo zinamzungumzia sana kama kielelezo cha dhambi, hasa ya ushoga.

Hata hivyo Yesu alisema miji isiyotubu kwa mahubiri na ishara zake itapatwa na adhabu kubwa zaidi.

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sodoma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.