Sofyan Amrabat
Sofyan Amrabat ([1] alizaliwa 21 Agosti 1996) ni mchezaji wa kandanda ambaye anacheza kama kiungo wa timu ya taifa ya Seina A na klabu ya Fiorent.
Ushiriki Katika Klabu
haririSofyan alizanza uchezaji wake mkuu katika klabu ya Utrecht mnamo 2014, Amrabat alihamia klabu ya Feyenoord mnamo 2017. Baada ya msimu mmoja, alijiunga na Club Brugge, kabla ya kutumwa kwa mkopo Italia huko katika klabu ya Hellas Verona mnamo 2019.
Ushiriki Kimataifa
haririTimu ya vijana ya Uholanzi Amrabat alizaliwa Uholanzi kwa wazazi wenye asili ya Morocco. Kwanza aliwakilisha Uholanzi katika kiwango cha chini ya miaka 15.[2]
Maisha Binafsi
haririSofyan ni kaka wa Nordin Amrabat mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Morocco . [3]
Takwimu za Ushiriki
haririMarejeo
hariri- ↑ "ⵉⵎⵃⵉⵣⵡⴰⵔ ⵉⴼⵔⵉⵇⵢⵉⵏ ⵏ ⵍⵎⵓⵏⴷⵢⴰⵍ ⵏ ⵇⴰⵟⴰⵕ 2022 (ⵜⴰⵙⵓⵜⵍⵜ ⵉⴳⴳⵯⵔⴰⵏ) : ⵉⵎⵍⴰ ⴼⴰⵀⵉⴷ ⵀⴰⵍⵉⵍⵓⵣⵉⵜⵛ ⵜⵍⴳⴰⵎⵉⵜ ⵏ ⵉⵎⵓⵔⴰⵔⵏ ⵉⵜⵜⵓⵙⵜⴰⵢⵏ ⴷⴰⵜ ⵏ ⵍⴽⵓⵏⴳⵓ ⵜⴰⴷⵉⵎⵓⵇⵕⴰⵟⵉⵜ", 2022-03-17. (Berber)
- ↑ (in it) Ufficiale: Amrabat Alla FIorentina Ma Solo Dal 1° Luglio 2020 (Press release). 31 January 2020. Archived from the original on 2020-01-31. https://web.archive.org/web/20200131224347/https://www.hellasverona.it/2020/01/31/ufficiale_amrabat_alla_fiorentina_ma_solo_dal_1_luglio_2020. Retrieved 2023-06-16.
- ↑ "Trotse Nordin Amrabat ziet broer Sofyan bij FC Utrecht tekenen". ad.nl. Iliwekwa mnamo 9 Novemba 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "S. Amrabat". Soccerway. Iliwekwa mnamo 26 Septemba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo Vya Nje
hariri- Sofyan Amrabat katika Soccerway
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sofyan Amrabat kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |