Sogn og Fjordane ni moja kati ya majimbo ya Norwei. Jimbo hili limepakana na Møre og Romsdal, Oppland, Buskerud, na Hordaland. Makao makuu ya jimbo hili yapo mjini Hermansverk katika manispaa ya Leikanger - wakati mji mkubwa kabisa ni Førde.

Aurlandsfjorden, Sogn og Fjordane

Manispaa za jimboni hapa

hariri

Takbriban manispaa 26 zipo mjini Sogn og Fjordane.

Municipalities of Sogn og Fjordane
Key  
  1. Årdal
  2. Askvoll
  3. Aurland
  4. Balestrand
  5. Bremanger
  6. Eid
  7. Fjaler
  8. Flora
  9. Førde
  10. Gaular
  11. Gloppen
  12. Gulen
  13. Hornindal
  1. Høyanger
  2. Hyllestad
  3. Jølster
  4. Lærdal
  5. Leikanger
  6. Luster
  7. Naustdal
  8. Selje
  9. Sogndal
  10. Solund
  11. Stryn
  12. Vågsøy
  13. Vik

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sogn og Fjordane kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.