Møre og Romsdal
Møre og Romsdal ni moja kati ya Majimbo ya Norwei. Jimbo lipo katika moja ya sehemu za kaskazini mwa Magharibi mwa Norwei. Limepakana na jimbo la Sør-Trøndelag, Oppland na Sogn og Fjordane. Makao makuu ya jimbo yapo mjini Molde, wakati Ålesund ina-simama kama jiji kubwa.
Manispaa za jimboni hapa
haririMøre og Romsdal jumla imegawanyika katika manispaa 36:
Viungo vya Nje
hariri- media kuhusu Møre og Romsdal pa Wikimedia Commons
- Møre og Romsdal county Ilihifadhiwa 22 Julai 2020 kwenye Wayback Machine.
62°30′00″N 07°10′00″E / 62.50000°N 7.16667°E
Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Møre og Romsdal kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |