Solna
Solna ni manispaa na mji nchini Uswidi. Mji ulianzishwa 1943. Kuna wakazi 61,717 (mwaka 2005). Scandinavian Airlines iliyo na makao makuu mjini Solna.
JiografiaEdit
Eneo lake ni 21.11 km².
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Solna kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |