Song Il-kook
Song Il-kook (amezaliwa 1 Oktoba, 1971) ni mwigizaji mashuhuri toka Korea Kusini. Anajulikana hasa kwa kuigiza mfalme Jumong kwenye televisheni katika tamthiliya kadhaa za kihistoria.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Song Il-kook kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |