Souther Times

Tovuti ya habari

Souther Times ni tovuti ya habari na kampuni ya Kongo ya Vyombo vya habari vya mtandao. Ilianzishwa mnamo 2017 huko Bukavu kama blogi na Amini Cishugi, kampuni hiyo ni media ya kimataifa burudani iliyopo kwenye mitandao ya kijamii.

Souther Times
Souther Times logo
Jina la gazeti Souther Times
Aina ya gazeti magazeti ya mkondoni
Lilianzishwa 7 Mach 2017
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mhariri Amini Cishugi
Makao Makuu ya kampuni Bukavu
Machapisho husika Kusengenya
Tovuti Souther Times
Mtu akisoma Jarida Las Últimas Noticias

Viungo vya nje hariri