Spider-Man

Spider-Man ni jina la shujaa wa kubuni anayeonekana katika vitabu vya vibonzo vya Marekani vilivyochapishwa na Marvel Comics. Tangu 1977 ilianza mfululizo wa TV wa Speder-Man. Lakini tangu miaka ya 2000 kumekuwa na filamu zake nyingi tu zilizochezwa kama Spider-Man lakini maarufu zaidi iliyocheza na Tobey Maguire mwaka 2002, 2004 na 2007 ambazo kwa pamoja ziliitwa trlilojia ya Spider-Man chini ya uongozi wake "Sam Raimi". Baadaye zikaibuliwa tena na mwongozaji Marc Webb kwa ajili ya 2012, The Amazing Spider-Man na The Amazing Spider-Man 2 chini ya mwigizaji "Andrew Garfield" kabla kutemwa rasmi na kuibuliwa tena mwaka 2017 na Spider-Man: Homecoming ambamo ndani yake kacheza "Tom Holland" ambaye alionekana kwanza kwenye Captain America: Civil War 2016 kabla kuja rasmi kama Spider-Man mpya 2017 na 2018 Avengers: Infinity War na nyingine ambayo itatoka 2019.

Spider-Man

FilamuEdit