Spider-Man 3 ni filamu ya kishujaa ya Marekani inayohusu hadithi ya mwanachama wa Marvel Comics, Spider-Man. Ilitungwa na Sam Raimi, kaka yake mkubwa Ivan na Alvin Sargent.

Ni filamu ya mwisho katika mfululizo wa filamu za Spider-Man zilizotungwa na Raimi. Nyota wa filamu Tobey Maguire kama Peter Parker / Spider-Man, pamoja na Kirsten Dunst, James Franco, Thomas Haden Church, Topher Grace, Bryce Dallas Howard, James Cromwell, Rosemary Harris na J. K. Simmons.

Washiriki

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:

Rasmi

Mapitio

Mengineyo

  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Spider-Man 3 kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.