Splash Water World
Splash Water World ni bustani katika ambapo familia huenda kubarizi wakati wa wikendi. Iko katika eneo la Lang'ata jijini Nairobi, Kenya, kupakana na mkahawa wa walanyama. Kuna kidimbwi cha kuogelea, kupanda ngamia na hata farasi.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Splash Water World kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |