Uwanja wa michezo wa Ahmadou Ahidjo
Uwanja wa michezo nchini Cameroon
(Elekezwa kutoka Stade Ahmadou Ahidjo)
Uwanja wa Ahmadou Ahidjo ni uwanja wa michezo uliopo katika mji wa Yaoundé nchini Kameruni unaotumika kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu pamoja na mchezo wa riadha.Uwanja huu ulijengwa mwaka 1972 na kufanya ukarabati mwaka 2016 ukiwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 40,000 .[1] Ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Canon Yaoundé na Tonnerre Yaoundé pamoja na timu ya taifa ya Kameruni, mwaka 1980 rekodi zinaonyesha kuwa uwanja huu ulihudhuriwa na jumla ya mashabiki 120,000 [2]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Ahmadou Ahidjo kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |