Stahili
Stahili (kutoka neno la Kiarabu) ni hali inayomfanya mtu awe na sifa ya kupata jambo fulani, jema au baya, hasa kutokana na matendo yake, kama ni mema au mabaya.
Katika dini mbalimbali, maadili yanafundisha namna ya kustahili tuzo kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Katika Ukristo kuna tofauti kubwa kati ya Wakatoliki na madhehebu mbalimbali ya Uprotestanti. Hata hivyo, baada ya mabishano ya muda mrefu, Wakatoliki na Walutheri wamefikia kuelewana[1] ; baadaye Wamethodisti pia wamesaini makubaliano yao.
Tanbihi
hariri- ↑ "From Conflict to Communion. Lutheran Catholic Common Commemoration of the Reformation in 2017. Report of the Lutheran-Roman Catholic Commission for Unity (2013)" (kwa Kiingereza). Holy See. Iliwekwa mnamo 5 Aprili 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |