Staunton, Virginia

Staunton ni mji katika jimbo la Virginia nchini Marekani.

Bendera yake.

Wakati wa sensa ya mwaka 2010, takriban watu 23,000 waliishi huko Staunton.

Staunton inajulikana kwa kuwa mahali ambapo Rais wa Marikani Woodrow Wilson alizaliwa.

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Staunton, Virginia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.