Stefano Tilli (alizaliwa 22 Agosti 1962) ni mwanariadha wa zamani nchini Italia ambaye alibobea katika mbio za mita 100 na 200,akishinda mara mbili barani Uropa, ni mshindi wa nusu fainali mara tatu kwenye Michezo ya Olimpiki, na alishikilia rekodi ya dunia katika mbio za ndani za mita 200.[1]

Stefano Tilli

Marejeo

hariri
  1. "Stefano tilli - Profile". worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 24 Agosti 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stefano Tilli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.