Stella Martin Manyanya

Stella Martin Manyanya (amezaliwa tarehe 4 Agosti 1962) ni mbunge wa viti maalumu katika bunge la taifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. ["Mengi kuhusu Stella Martin Manyanya". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 2011-11-04.  Mengi kuhusu Stella Martin Manyanya]

Viungo vya nje hariri