Stephanie Bukovec (amezaliwa Kanada, 22 Septemba, 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambaye anacheza kama kipa wa timu ya Standard Liège ya wanawake. Aliwakilisha timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa miguu ya Croatia[1][2][3][4].

Marejeo

hariri
  1. "Bukovec's L1 Cup Heroics Propel Vaughan Azzurri To 3–2 Win In Penalties Over FC London". League1 Ontario. Julai 15, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. PEC Zwolle Vrouwen legt keepster Stephanie Bukovec vast (Dutch).
  3. "Íslandsmeistararnir semja við markvörð (Staðfest)", Fótbolti.net, 13 July 2018. (Icelandic) 
  4. "Bukovec valin sú besta í Meistaradeildinni", Morgunblaðið, 14 August 2018. (Icelandic) 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stephanie Bukovec kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.