Stephanie Okereke Linus

Muigizaji na muongozaji wa filamu

Stephanie Okereke Linus (anatambulika pia kama Stephanie Onyekachi Okereke[1]; alizaliwa Ngor Okpala, jimbo la Imo, 2 Oktoba 1982)[2][3] ni mwigizaji na mwongozaji wa filamu, pia mwanamitindo wa Nigeria.

Stephanie Okereke Linus (2021)

Alipata tuzo na teuzi mbalimbali kutokana na kazi yake ya uigizaji, ikiwemo tuzo ya Reel mwaka 2013 kama mwigizaji bora wa kike, tuzo ya Afro Hollywood ya mwaka 2006 kama mwigizaji bora wa kike na uteuzi mara tatu wa mwigizaji bora wa kike katika tuzo za Africa Movie Academy ya mwaka 2005, 2009 na 2010[4][5][6][7]. Pia, alikuwa mshindi wa pili katika mashindano ya kumpata mwanamke mrembo wa Nigeria mwaka 2002 [8].

Maisha ya awali

hariri

Stephanie Okereke ni mtoto wa sita kati ya nane wa Mary na Chima Okereke. Alimaliza elimu ya msingi na sekondari katika jimbo la Delta. Alipata shahada ya kiingereza na fasihi katika chuo kikuu cha Calabar katika jimbo la Cross river[9].

Alianza kazi ya uigizaji mnamo mwaka 1997 alipo igiza kama mhusika mkuu katika filamu ya Compromise 2 na Waterloo[10]. Mwaka 2002, Okereke alikuwa mshindi wa pili katika kinyang’anyiro cha kumsaka mwanamke mrembo wa Nigeria [8]. Mwaka mmoja baadaye (2003), Okereke alishinda tuzo mbili kati ya nane alizoteuliwa kushiriki. Alishinda tuzo ya Reel kama mwigizaji bora wa kike na tuzo ya mwigizaji bora wa kike katika mwaka 2003.

Alipo hitimu chuo cha mafunzo ya filamu cha New York mwaka 2007, Okereke aliachia filamu iitwayo "Through the Glass"[11][12]. Filamu hiyo iliteuliwa kushiriki katika tuzo za Africa Movie Academy award mwaka 2009[7]. Mwaka 2014, aliachilia filamu nyingine kwa jina la "Dry" aliyeiandaa, kuiandika na kuigiza. Filamu hii ilishinda tuzo nyingi ikiwemo, tuzo ya 12th Africa Movie Academy Awards na tuzo ya filamu iliyotazamwa na watu wengi mwaka 2016 kama filamu bora na kushinda gari jipya kama zawadi [13].


Filamu zake

hariri
Mwaka Filamu
1997 Compromise 2
Waterloo
2002 Pretender
Blind Justice
2003 Aristos
Emotional Crack
Genesis of Love
Private Sin
Queen Sheba
The Cross of Love
Together as One
2004 Beautiful Faces
Critical Decision
Deep Loss
Diamond Lady: The Business Woman


Dream Lover
Eye of the Gods
In the Name of Love
Last Girl Standing
Magic Moment
Mama-G in America
Miss Nigeria
More Than a Woman
My Mother My Marriage
Official Romance
Promise & Fail
Promise Me Forever
Right Man for Me
Sensational Spy
Strength of a Woman
To Love Again
Virgins Night Out
Working Class Lady
2005 A Time to Die
Days of Bondage
Guys on the Line
Lonely Hearts
Ola... the Morning Sun
Omalinze
Price of Ignorance
Princess of Wealth
Royal Battle
Street Fame
Windfall
Woman on Top
2006 Behind the Plot
Daytime Lovers
Efficacy
Shut In
Sitanda
The Law Students
The Preacher
Upside Down
2007 A Time to Love
Governor's Wife
2008 Mission to Nowhere
Hidden Treasure
Through the Glass
2009 Nnenda
Reloaded
2014 Dry
2015 Make Me fabulous
2016 Boonville Redemption

Marejeo

hariri
  1. "Stephanie Okereke's full name". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Machi 2009. Iliwekwa mnamo 6 Oktoba 2009. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  2. Onikoyi, Ayo. "Stephanie Okereke clocks 30 and it’s going to be…", Vanguard, 2 October 2012. Retrieved on 3 October 2012. 
  3. "My Wedding Plans in Top Gear, Says Stephanie Okereke", P.M. News, 1 February 2011. Retrieved on 3 October 2012. 
  4. "And the 2010 AMAA nominees are". Jemati.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-04-06. Iliwekwa mnamo 14 Aprili 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "The African Movie Academy Awards (AMAA) 2010 Nominations". thefuturenigeria.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Julai 2011. Iliwekwa mnamo 14 Aprili 2010. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  6. "Stephanie Okereke: Awards & Nominations". Iliwekwa mnamo 2009-10-06.
  7. 7.0 7.1 "AMAA 2009: List of Nominees and Winners". Africa Movie Academy Awards. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Aprili 2011. Iliwekwa mnamo 17 Oktoba 2010. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  8. 8.0 8.1 "Official bio". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 Septemba 2009. Iliwekwa mnamo 6 Oktoba 2009. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  9. "Okereke at NigeriaMovies.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-28. Iliwekwa mnamo 2009-10-06.
  10. "Stephanie Okereke: Nigerian screen queen". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Machi 2009. Iliwekwa mnamo 6 Oktoba 2009. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  11. "Through the Glass: Review". Iliwekwa mnamo 2009-10-06.
  12. "Through the Glass: Official Site". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Aprili 2009. Iliwekwa mnamo 6 Oktoba 2009. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  13. "Filmography". Iliwekwa mnamo 2009-10-06.
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stephanie Okereke Linus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.