Steven Alfred (alizaliwa 11 Oktoba 1997) ni mwanasoka wa Nigeria ambaye anachezea timu ya Israeli ya Hapoel Hadera.

Ushiriki Katika Klabu hariri

Alfred alicheza mechi yake ya kwanza katika Ligi ya Kitaifa ya Soka ya Urusi kwa PFC Sochi tarehe 16 Machi 2019 katika mchezo dhidi ya klabu ya FC Krasnodar-2. [1]

Tarehe 5 Julai 2019, Alfred alijiunga na klabu ya FC Pyunik kwa mkopo. [2][3] Pia tarehe 26 Januari 2021, Alfred aliondoka Pyunik kwa makubaliano na klabu hiyo. [4]

Marejeo hariri

  1. "Game Report by FNL". 16 March 2019.  Check date values in: |date= (help)
  2. "Սթիվեն Ալֆրեդը և Ալեքսանդր Գալիմովը' "Փյունիկի" ֆուտբոլիստներ". fcpyunik.am/ (kwa Armenian). FC Pyunik. 5 July 2019. Iliwekwa mnamo 11 July 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "Стивен Альфред переходит в "Пюник"." [Steven Alfred moves to Pyunik] (kwa Russian). 6 July 2019. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-24. Iliwekwa mnamo 2023-06-14.  Check date values in: |date= (help)
  4. "Stephen Alfred left Pyunik". fcpyunik.am. FC Pyunik. 26 January 2021. Iliwekwa mnamo 27 January 2021.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)

Viungo Vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Steven Alfred kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.