Suzana ni mwanamke ambaye katika Injili ya Luka (8:3) anatajwa kati ya wafuasi wa Yesu Kristo.

Pamoja na wanawake wengine walikuwa wakitumia mali zao kumhudumia yeye na wanafunzi wake wengine.

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Suzana (Injili) kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.