Venja Anette Huth (alizaliwa Januari 25, 1991) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya VfL Wolfsburg na timu ya taifa ya wanawake ya Ujerumani.[1]

Venja Anette Huth


Marejeo hariri

  1. "FIFA Women's World Cup France 2019: List of Players". FIFA.com. FIFA. 27 May 2019. uk. 10. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-27. Iliwekwa mnamo 27 May 2019.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Svenja Huth kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.