Svetlana Alexievich

Svetlana Alexievich (amezaliwa 31 Mei, 1948) ni mwandishi wa habari kutoka nchi ya Belarus. Anajulikana hasa kwa hoja zake kuhusu historia ya Umoja wa Kisovyeti. Mwaka wa 2015 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Alexievich mwakan 2013
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Svetlana Alexievich kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.